Saturday, April 14, 2007

Kilimia

Kilimia ni umeme wa radi, wengi tunauogopa kwa maana ndio unaoua na sio ngurumo ya radi. Niliamua kuiita blog yangu Kilimia sio kwa sababu kilimia inaua bali kilimia ikiwaka inaonekana inapowaka kwa watu wote.

Hapa nataka kuchambua mambo ambayo sisi kama binadamu, watanzania tunayafanya yakiwa ni mazuri basi tutayasema humu ili wengine waige, yakiwa mabaya tutayasema pia ili tujifunze.

Karibuni sana